back again

yes its been a long  tyme tangu tumekuwa pamoja guys.....ni mengi sana yametokea mazuri kwa mabaya ,ya furaha na huzuni lakin tuna kila sababu ya kumshukuru kwa kutupa uwezo wa kuwa pamoja tena leo,i have so many to things to discuss with u guys,.....bt all in all im happy tht tuko wote leo.......

nimewamiss watu wangu

i mic u guys sana ni cku nying ckua hapa bt nw im back again.......

I LIKE FASHION!

Guys the truth is i like fashion and one day nitafanya kitu kuhusu fashion japo c sasa coz mambo bado hayapo kama vile nataka,bt the truth is i like fashion.

hi!wadau wangu,wanajamii na watanzania kwa ujumla hope mko poa!plz msifikiri ukimya wangu ni kusahau blog hii hapana bali ukimya huu ni kujipanga upya zaidi ili cku tukiinza kusonga mbele tusirudi nyuma!gday jaman!

KWA WALIO SALAMA TU!

Nimeumbwa jaman cjisifii c sura nzuri wala shepu la hasha bali mwenyezi mungu kanipa roho hasa ya kibinadamu,roho ya kujali wengine kuliko mwenyewe,roho ya kukubali matokeo kwa kuogopa kuumiza wengine,roho safi ninayo cjicfii.Najua unajiuliza kwanin nasema haya leo hii lkn jibu ni kwamba nimejichunguza nimejikubali kama ni majaribu nimepata lkn mpaka sasa nilipo nimeamin majaribu hayo yananiogopa.
Me namshukuru mungu kwa kunipa roho hii na zaidi naomba aniongezee moyo wa subira,upendo,uvumilivu kama nilionao sasa,kwani jina na roho yangu ni sawa anaebisha huyo mbishi tu na atabaki kuwa mbishi!
Huyu c mwingine bali ni SALAMA SALUM mnyamwezi mchanganyiko na mnyiramba toka mkoani singida,Hayo hasa ndio makabila yangu na shukrani kwa wazazi wangu kwani ndo walinilea mpaka nikafika hapa.Busara zao hekima zao na uwezo wao wa kunilea ndo umenifanya niwe hivi!Nawapongeza kwani kwangu nyie ni wazazi bora zaidi im proud of u father and mother,ckujua kama mliyokua mkinifundisha yatawafurahisha walimwegu sasa!Mlinilea kiafrika na sasa nakubalika!
Afande Salum kokote uliko ujue mm mwanao najivunia sana ww kuwa baba yangu bila kusahau mama yao Rehema au rey kama  tunavyopenda kukuita ww kweli ni mama bora sana tena sana,mungu hakukosea kukufanya uwe mama yangu.Ww ulijituma sana ili sisi tuwe hapa,ulijitolea kwa hali na mali wanao tukue.Natamani nikulipe wema wako lkn uwezo mdogo mama!
Sijawasahau ndugu zang wa damu nyie ni wangu wa pekee,nawapenda sana nyie ni familia yangu cku zote nikidondoka nadondoka nyie nikisimama nasimama na nyie nitawajali na kuwa heshimu milele.Upendo wangu kwenu ni zaidi ya upendo naamin na nyie mnanipenda sawa na mm ninavyowapenda,c wengine ni ASHA SALUM,PILI SALUM na kaka wa pekee MUSTAPHA  SALUM.I LUV U JAMAN!
Nakupenda sana nakujali na nakuheshimu milele ww 2,ni kipenz changu ni future yangu,ww ni ndoto zangu cku zote hata kama ctokaa na ww nyumba moja lkn utabak moyon mwangu,kukutoa moyon cwez hata uniudh vp,ni ww ulieniteka na cjui njia ya kutoroka,nakupenda sana na amin hata kama kuna vikwazo kiasi gani lkn iko cku kwa uwezo wa mungu tutakua pamoja.NI WW TU MPENZ WANGU!
MWISHO NI Ww unaeosoma sasa hivi  NAKUPENDA SANA!mungu akupe moyo wa kufungua hii blog kila cku.SHUKRAN KWA FOLLOWERS WANGU STEVE NA BARAKA NAWAPENDA SANA!BILA KUSAHAU MARAFIKI ZANGU LEAH,ZAINABU,FIDELIS,RITHA NAWAPENDA WOTE JAMAN1

SPECIAL THANX KWA RAMA MSANGI KWA KUNIWEKA HAPA NILIPO SASA,HESHIMA YAKO MKUU!TCHAO!MWAAAAAAAH!

NAUGHTY GIRL!: POLENI WAHANGA WA MABOMU.

NAUGHTY GIRL!:

SIKU YA TAREHE 16/02/2011 HAITOSAHAULIKA KWA WAKAZI WA GONGOLAMBOTO NA WATANZANIA WOTE KWA UJUMLA.MAISHA YA WATANZANIA WENZETU HAWA YALIGEUKA GHAFLA BADALA YA FURAHA VILISIKIKA VILIO KILA KONA,WATOTO,WAKINAMAMA,VIJANA NA WANAUME WAKIKIMBIA HOVYO BILA KUJUA WAPI WANAKWENDA.JAMANI HALI ILIKUA INATISHA MNO.HALI HII IMESABABISHA VIFO VYA WATU WANAOKADIRIWA 18 NA MAJERUHI ZAIDI YA MIA.
NINAWAPA POLE WAATHIRIKA WOTEWA MABOMU HAYA.NA PIA NINGEPENDA KUWAOMBA WATANZANIA WOTE TUJITOLEE KUWASAIDIA WATANZANIA WENZETU KWA HALI NA MALI.SEREKALI HAIWEZI INABIDI TUISUPPORT ILI KUWASAIDIA NDUGU ZETU.
MWISHO NAMOMBA MUNGU AENDELEE KUTUSAIDIA WATANZANIA TUWE NA AMANI MILELE.

Nampenda Rihhana jaman!



guys naipendasana hii nyimbo jaman na la zaidi nampenda sana huyu rahhana jaman!yuko juu no doubt!check hii video lzma utaenjoy!

Play- Us against the world



CHECK OUT TODAY VIDEO!

kwawapenda malavidavi celin dion anakwambia am alive kama vipi icheki

katika nguli wa waimba mahaba huyu ni kiboko nimeamua kumpa shavu pamoja tuburidike nayo steven mruma kupitia kwa salama salum 
hi!

LETS TALK ABOUT LUV!

MPENZI ANAKUUMIZA KILA CKU?
Mapenz ni raha jaman tena raha sana pale tu unapompata mtu anaekupenda kwa dhati,kukuheshimu na kukujali,lkn mapenzi haya pia yanaweza yakawa machungu zaid ya shubiri pale tu unapompata mtu mbabaishaji asiyejua mapenzi ni nini,anaejali nafsi yake bila kujali kua kuna mtu anamuumiza!

Wapo watu wanaishi maisha ya raha sana ktka ulimwengu huu wa mapenzi.Pia wapo wanaumizwa sana na kulizwa sana ktka maisha yao ya mapenzi,kuna kipindi inafika wanayachukia kabisa mapenzi wakaamin wana bahati mbaya na kufikia uamuzi wa kutopenda tena.Lkn pia wapo watu wanaoumizwa sana ,wanafanyiwa kero za kila namna lkn mioyo yao inawambia wawe wavumilivu yatakwisha na huku wakiamin hawawezi ishi bila wenzi wao(c kweli).

Mada hii itakusaidia jinsi ya kuepukana na maamivu yasiyo ya lazima ktka maisha yako-:

1.MWAMBIE UKWELI JUU YA TABIA YAKE!
Ni busara ukikaa chini na mwenza wako na ukamwambia kila kinachokukwaza na jinsi tabia zake zinavyokuumiza lkna jitahid usimwambie kwa ukal na kwa kukurupuka hovyo kwan badala ya kujenga waweza bomoa kabisa!
2.MTAZAME KAMA ANAWEZA BADILI TABIA YAKE!
Jaribu kumchunguza kama anaweza badilika au la!kuna watu huwa wanaact kubadilika kwa muda wa wiki 2 tu kisha tabia zao zikarud palepale,m2 kama huyu hajabadilika ila anatania 2 na c kwamba  hawez badilika la hasha anawez sana ila ni makusud 2.Na wapo mabingwa wa sorry bby kila wakikosea wanaomba samahan yan as if wanafanya makosa kwa kujua neno msamaha lipo,lkn wakae wakijua japo wanasamehewa usoni mioyon wenza wao huwachukulia kama watu wenye dharau!
3.UNAWEZA KUENDELEA NAE?
Kuna watu wanatabia zinakera lkn ni za kawaida,mtu kama huyu ukiwa nae mvumilie,Lkn kuna watu wanatabia mbaya na za ajabu kupindukia na hawabadiliki, jaman ucjidanganye kumvumilia mtu kama huyu,usifate mawazo ya CWEZ ISHI BILA YEYE,(kwan ulizaliwa nae)jiangilie kijana usipelekwe na roho ya uwoga unaweza kukutwa na mwisho mabaya zaidi ya unavyofikiri.
4.TAFUTA USHAURI KISHA FANYA MAAMUZI
Jitahidi uombe ushauri kwa watu unaowaamini na wanaoweza kukupa ushauri mzuri zaidi na kisha fanya uamuzi kama utabaki nae au kuachana nae!Najua ni ngumu kumwacha mtu anaempenda lkn pia wabidi ukubali kua hutakiwi kua na mtu asiekupenda kwani ni sawa na kukubali matatizo ktka maisha yako!Sahau yote tafuta uhuru wako,kubali kuwa ulikosea kuachagua na amini wako anakuja kwani mungu hawezi kukuacha ww ulie kila cku!

ASANTE NA WEEKEND NJEMA WATANZANIA!

NEW YEAR

Don't think I'm either silent or busy,but I was in prayer asking God to Register your name&mine in his list 2011.HAPPY NEW YEAR GUYS!
Pia napenda washukuru watanzania wote kwa kuwa pamoja mwaka 2010 namuomba mwenyezi mungu awape moyo huo ktk mwaka 2011.Pamoja na watanzania wote  shukrani zangu za dhati ziende kwa-;
my one and only-:RAMA MSANGI,STEVEN MRUMA,FIDELIS AND MA BEST FRIEND RITHA RICHARD.Nawashukuru kwa ushauri na upendo walionionesha nami nasema I LUV U ALL!

THANX GOD!

THANX GOD NAKUSHUKURU SANA MUNGU WANGU KWA KUNIPA HUYU M2!INSHORT WW NI FURAHA YANGU WW NI FARAJA YANGU WW NI KILA NINACHOKIHITAJI!UMEBADILISHA NJIA ZANGU,UMEKUA MWANGA GIZAN!NAKUPENDA SANA NA NITAZID KUKUPENDA MPAKA MILELE!

NAMPENDA LKN SIMUELEWI

Habari  dada salma,mm ni msichana mwenye umri wa miaka 24,nina uhusiano na mwanaume mwenye kunizid umri kama miaka 6 hivi,NAMPENDA SANA!Lakin cha kushangaza ni jinsi kaka huyu, alivyo kwa kumuangalia ana mvuto lkn tabia zake hazieleweki hata kidogo,.Nimejarib sana kumbadilisha lkn wapi,huyu mwanaume hajawah kutoka out na mm hata cku moja na kila ukimpigia cmu anakwambia yuko sehem na washikaj,huwa hapig cmu mpaka nimbip na nikimlalamikia ananiambia nisimsumbue!jaman cjui nifanye nin  nataman kumwacha lkn bado nampenda sana nisaidien!


SALAMA SAYS-;Pole sana wangu kwa kumpenda m2 kama huyo,ninachokushauri mm ni kwamba ujarib kumsahau huyo kaka kwani anaonekana hana mpango na ww na anakufanyia hivyo ili ukate tamaa tu!inavyoonesha jamaa anaona aibu kukwambia muachane kwahiyo  dada anza ww,usiendelee kuumia,muombe mungu akupe mwingine huyo siyo riziki!

How to Make Money With Google AdSense



hi!kwa wale wanaotengeneza blog hii itawasaidia sawa!

mastaa bongo!


aunt ezekiel

monalisa


tuwacheck mastaa we2 wa bongo yan mavaz yao,tabia zao na kazi zao je ni mastaa kweli?je mastaa wote wanaochipukia lazima wawe hiv na wacpokua hiv je hawawezi kuwa mastaa wa ukwel?hebu tulizungumzie hili jaman tuma maoni yako kwenye email ifuatayo-;salamasalum89@gmail.com

steven kanumba
 

aunt,irene,nikita,jackline wolper and wastara
 

MIC'N U GUYS

Habar members wote wa kiungo mahususi!Hope mko poa!Nimewamic sana guys!

saikolojia inaweza ikabadili muelekeo wa mawazo yako kimaisha yakawa bora

hi!nina maana ya kua unapokua na uelewa na mabo ya kisaikolojia haitakusumbua sana kuwatambua wanaokuzunguka pia kuelewa ni jinsi gani unapaswa kuishi na aina mbalimbali za watu na hii itakufanya pia kutumia akili yako ipasavyo na kukuwezesha kupanua wigo wa fikra zako ni muhimu sana kama ukiamua kwa faida yako kusoma masuala ya kisikolojia
steve one
@ salama salum

uhuru wa tanganyika 1961 una maana gani sasa kwetu au ni story za mtaa?


hi!kila mtu kuwa anafanya kitu kwa minajili hata suala la uhuru wetu kila mmoja ana lake ambalo ndilo anakuwa anawaza mimi mpaka sasa najua uhuru uliniweka katika maisha ya kuwa huru katika mambo yangu binafsi bila kuongozwa kama mfungwa pia maendeleo yangu yanasimama kama yangu na taifa kwakua niko huru ufanya huku nikitumia jitihada zangu binafsi kufika hapa nilipo na kama kunamsaada wa kiuhuru upo kwakua nipo huru na si vinginevyo
Siaoni jambo la kujivunia kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakishabikia, kiasi cha kutumia gharama kubwa katika kuandaa matoleo mbalimbali yenye kusifia mambo yaliyofanywa na serikali.
Sitaki kushabikia maendeleo yanayosemwa na serikali kuwa yamefanyika ambayo naamini ni wajibu wa serikali kuyafanya, na wala si hisani au msaada kama wananchi wanavyomanishwa na viongozi. sisemi mengi ila nililo nalo mimi sila kawida sana japo ukiangalia kimtazamo huoni kama kuna jambo
  imendikwa na steven mruma
www.stevenmruma.blogspot.com

badala ya salama salum

habari wana wa kiungo mahususi!HII C KWA WAFUASI WA CHADEMA!

Habari wana wa kiungo mahususi!najua watanzania wote sasa tuko macho yetu kwenye baraza jipya la mawaziri lililotangazwa na raisi wetu leo,JAMANI BARAZA LIKO SAFI,TENA HASWAA HEBU VUTA PICHA SITTA,MAKONGORO,NA WENGINEYO WOTEEEE NDANI!YAN WATANZANIA WOTE TUNA HOPE MAMBO YATAKUA MAZURI TUU!

LAKIN JE WENZANGU MNALIONAJE?TOA MAONI KWENYE BLOG HII/FACEBOOK PAGE YANGU/salamasalum89@gmail.com kisha mm nitapublish hapa hapa kwenye blog yenu ya ukweli!

DON'T MESS WITH AN ANGEL

                
HUWA NATAMAN SAA TATU NA NUSU IFIKE MAPEMA,DO U KNOW NI KWANIN?COZ NAIPENDA TAMTHILIYA HII YA DONT  MESS WITH AN ANGEL!YAN NAIPENDA SANA KUANZIA WAIGIZAJI MPAKA STORY YENYEWE ILIVYO, IN SHORT IKO VIZURI!USHAURI WANGU KWA WAIGIZAJI WA TANZANIA NI KWAMBA WAJIPANGE CKU MOJA WAFANYE KAZI NZURI KAMA HII!KWAN NI NN KINASHINDIKANA JAMAN ?2JIPANGE!!

MCHAKATO WA WAZIRI MKUU!TABIRI UJISHINDIE BLACKBERRY MPYAAAA!

hi!JAMAN WAUNGWANA MCHAKATO WA UWAZIRI MKUU BADO  UNAENDELEA!JIUNGE NA MM  NDANI BLOG HII UTABIRI NA USHINDE BLACKBERRY MPYAAAAAA KABISA!

KUMRADHI WASOMAJI WETU

Blogi hii iko katika ukarabati mkubwa hivi sasa, tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote mtakaoupata katika kipindi hiki cha maboresho ya maskani hii. Nia ni kuhakikisha kuwa wasomaji mnapata kilicho bora kabisa.

Asanteni kwa ushirikiano ambao mmekuwa mkinipa hadi sasa na niwaombe radhi tena kwa usumbufu mtakaoupata katika wakati huu wa maboresho

hi!guys~!naamin mmenimic sana lkn i'm back jaman!,nguvu zaid,ujuzi zaid,burudan zaid and mambo matamu zaid!ndan ya blog yako ya ukweli ukiwa na saallllamaaa ndan ya nyumba yan ni full mzuka!special thanks ziende kwa steven mruma,fidelise kabali,rama msangi na wote mnaonipa kampan!

jk ndani ya ikulu akiazatena majukumu yake kama kawaida

 kama unavyo jua tayari ameapishwa na tayari ameshaingia ikulu hakuna sababu ya kupoteza muda ni kuchapa kazi kwenda mbele www.stevenmruma.blogspot.com karibu na toa maoni

unaweza ukatoa maoni kuhusu uchaguzi mkuu wa tanzania

hi! salama hayupo karibu na wadau kwakua yuko mbali ila steven nipo pamoja na wewe kukupa habari mbalimbali ila kwasasa toa maoni yako kupitia www.stevenmruma.blogspot.com kuhusu uchaguzi uliopita ambao ulimpa jk kipindi chake cha mwisho cha uongozi wa nchi..

kila jambo huwa linakewnda kwa mipango ndio mana vichwa viwili ndani ya kitu kimoja ili kukupa mambo

hakuna la ajabu sana ila ni muunganiko wa nguvu za  salama na steven na kuwa kitu kimoja ili kukupa raha salama amesha nitambulisha ila mimi nilikua bado sasa jueni raha ipo karibu   yani raha ya steven na salama kama vipi tuite S SQUARE.........

simanzi!

hi!guys how is weekend,my side ilikuwa mbaya,jaman kilichonitia simanzi ni leo asubuh nilipockia kuwa mwanamziki machachari wa  ile mziki ya kibobumarley ISAACK GREGORY AMEFARIKI DUNIA.Imeniuma sana hasa nikikumbuka kwamba huyu ndie mwanamuziki ambae baba yangu anamfeel sana tena sana,Nawapa pole mashabiki wote wa reggae dunian!MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM MAHALI PEMA PEPONI,AMINA.

its weekend yyooooo!

hi!guys leo weekend mnaenda wap?

guys jaman he is my facebookfriend cku yoyote hiv karibun 2takuwa pamoja as a team,anaitwa Steven!ANA BONGE LA BLOG yan yuko juu!

huyu ni salama!!!!!!!!

hapa alikuwa kwenye poz, i like her!

Wamependeza sana!

ILIKUWA BONGE LA BIRTHDAY!

guys ni kama anasema miaka hiic midogo!namaanisha mwanadada kim kardashian akiwa kwenye bithday yake na baadhi ya wagen!kama unakumbuka kim alituinvite washabik wake wote ulimwengun kwenda kushekea cku yake ya kuzaliwa!