NAMPENDA LKN SIMUELEWI

Habari  dada salma,mm ni msichana mwenye umri wa miaka 24,nina uhusiano na mwanaume mwenye kunizid umri kama miaka 6 hivi,NAMPENDA SANA!Lakin cha kushangaza ni jinsi kaka huyu, alivyo kwa kumuangalia ana mvuto lkn tabia zake hazieleweki hata kidogo,.Nimejarib sana kumbadilisha lkn wapi,huyu mwanaume hajawah kutoka out na mm hata cku moja na kila ukimpigia cmu anakwambia yuko sehem na washikaj,huwa hapig cmu mpaka nimbip na nikimlalamikia ananiambia nisimsumbue!jaman cjui nifanye nin  nataman kumwacha lkn bado nampenda sana nisaidien!


SALAMA SAYS-;Pole sana wangu kwa kumpenda m2 kama huyo,ninachokushauri mm ni kwamba ujarib kumsahau huyo kaka kwani anaonekana hana mpango na ww na anakufanyia hivyo ili ukate tamaa tu!inavyoonesha jamaa anaona aibu kukwambia muachane kwahiyo  dada anza ww,usiendelee kuumia,muombe mungu akupe mwingine huyo siyo riziki!

0 comments: