KWA WALIO SALAMA TU!

Nimeumbwa jaman cjisifii c sura nzuri wala shepu la hasha bali mwenyezi mungu kanipa roho hasa ya kibinadamu,roho ya kujali wengine kuliko mwenyewe,roho ya kukubali matokeo kwa kuogopa kuumiza wengine,roho safi ninayo cjicfii.Najua unajiuliza kwanin nasema haya leo hii lkn jibu ni kwamba nimejichunguza nimejikubali kama ni majaribu nimepata lkn mpaka sasa nilipo nimeamin majaribu hayo yananiogopa.
Me namshukuru mungu kwa kunipa roho hii na zaidi naomba aniongezee moyo wa subira,upendo,uvumilivu kama nilionao sasa,kwani jina na roho yangu ni sawa anaebisha huyo mbishi tu na atabaki kuwa mbishi!
Huyu c mwingine bali ni SALAMA SALUM mnyamwezi mchanganyiko na mnyiramba toka mkoani singida,Hayo hasa ndio makabila yangu na shukrani kwa wazazi wangu kwani ndo walinilea mpaka nikafika hapa.Busara zao hekima zao na uwezo wao wa kunilea ndo umenifanya niwe hivi!Nawapongeza kwani kwangu nyie ni wazazi bora zaidi im proud of u father and mother,ckujua kama mliyokua mkinifundisha yatawafurahisha walimwegu sasa!Mlinilea kiafrika na sasa nakubalika!
Afande Salum kokote uliko ujue mm mwanao najivunia sana ww kuwa baba yangu bila kusahau mama yao Rehema au rey kama  tunavyopenda kukuita ww kweli ni mama bora sana tena sana,mungu hakukosea kukufanya uwe mama yangu.Ww ulijituma sana ili sisi tuwe hapa,ulijitolea kwa hali na mali wanao tukue.Natamani nikulipe wema wako lkn uwezo mdogo mama!
Sijawasahau ndugu zang wa damu nyie ni wangu wa pekee,nawapenda sana nyie ni familia yangu cku zote nikidondoka nadondoka nyie nikisimama nasimama na nyie nitawajali na kuwa heshimu milele.Upendo wangu kwenu ni zaidi ya upendo naamin na nyie mnanipenda sawa na mm ninavyowapenda,c wengine ni ASHA SALUM,PILI SALUM na kaka wa pekee MUSTAPHA  SALUM.I LUV U JAMAN!
Nakupenda sana nakujali na nakuheshimu milele ww 2,ni kipenz changu ni future yangu,ww ni ndoto zangu cku zote hata kama ctokaa na ww nyumba moja lkn utabak moyon mwangu,kukutoa moyon cwez hata uniudh vp,ni ww ulieniteka na cjui njia ya kutoroka,nakupenda sana na amin hata kama kuna vikwazo kiasi gani lkn iko cku kwa uwezo wa mungu tutakua pamoja.NI WW TU MPENZ WANGU!
MWISHO NI Ww unaeosoma sasa hivi  NAKUPENDA SANA!mungu akupe moyo wa kufungua hii blog kila cku.SHUKRAN KWA FOLLOWERS WANGU STEVE NA BARAKA NAWAPENDA SANA!BILA KUSAHAU MARAFIKI ZANGU LEAH,ZAINABU,FIDELIS,RITHA NAWAPENDA WOTE JAMAN1

SPECIAL THANX KWA RAMA MSANGI KWA KUNIWEKA HAPA NILIPO SASA,HESHIMA YAKO MKUU!TCHAO!MWAAAAAAAH!

0 comments: