LETS TALK ABOUT LUV!

MPENZI ANAKUUMIZA KILA CKU?
Mapenz ni raha jaman tena raha sana pale tu unapompata mtu anaekupenda kwa dhati,kukuheshimu na kukujali,lkn mapenzi haya pia yanaweza yakawa machungu zaid ya shubiri pale tu unapompata mtu mbabaishaji asiyejua mapenzi ni nini,anaejali nafsi yake bila kujali kua kuna mtu anamuumiza!

Wapo watu wanaishi maisha ya raha sana ktka ulimwengu huu wa mapenzi.Pia wapo wanaumizwa sana na kulizwa sana ktka maisha yao ya mapenzi,kuna kipindi inafika wanayachukia kabisa mapenzi wakaamin wana bahati mbaya na kufikia uamuzi wa kutopenda tena.Lkn pia wapo watu wanaoumizwa sana ,wanafanyiwa kero za kila namna lkn mioyo yao inawambia wawe wavumilivu yatakwisha na huku wakiamin hawawezi ishi bila wenzi wao(c kweli).

Mada hii itakusaidia jinsi ya kuepukana na maamivu yasiyo ya lazima ktka maisha yako-:

1.MWAMBIE UKWELI JUU YA TABIA YAKE!
Ni busara ukikaa chini na mwenza wako na ukamwambia kila kinachokukwaza na jinsi tabia zake zinavyokuumiza lkna jitahid usimwambie kwa ukal na kwa kukurupuka hovyo kwan badala ya kujenga waweza bomoa kabisa!
2.MTAZAME KAMA ANAWEZA BADILI TABIA YAKE!
Jaribu kumchunguza kama anaweza badilika au la!kuna watu huwa wanaact kubadilika kwa muda wa wiki 2 tu kisha tabia zao zikarud palepale,m2 kama huyu hajabadilika ila anatania 2 na c kwamba  hawez badilika la hasha anawez sana ila ni makusud 2.Na wapo mabingwa wa sorry bby kila wakikosea wanaomba samahan yan as if wanafanya makosa kwa kujua neno msamaha lipo,lkn wakae wakijua japo wanasamehewa usoni mioyon wenza wao huwachukulia kama watu wenye dharau!
3.UNAWEZA KUENDELEA NAE?
Kuna watu wanatabia zinakera lkn ni za kawaida,mtu kama huyu ukiwa nae mvumilie,Lkn kuna watu wanatabia mbaya na za ajabu kupindukia na hawabadiliki, jaman ucjidanganye kumvumilia mtu kama huyu,usifate mawazo ya CWEZ ISHI BILA YEYE,(kwan ulizaliwa nae)jiangilie kijana usipelekwe na roho ya uwoga unaweza kukutwa na mwisho mabaya zaidi ya unavyofikiri.
4.TAFUTA USHAURI KISHA FANYA MAAMUZI
Jitahidi uombe ushauri kwa watu unaowaamini na wanaoweza kukupa ushauri mzuri zaidi na kisha fanya uamuzi kama utabaki nae au kuachana nae!Najua ni ngumu kumwacha mtu anaempenda lkn pia wabidi ukubali kua hutakiwi kua na mtu asiekupenda kwani ni sawa na kukubali matatizo ktka maisha yako!Sahau yote tafuta uhuru wako,kubali kuwa ulikosea kuachagua na amini wako anakuja kwani mungu hawezi kukuacha ww ulie kila cku!

ASANTE NA WEEKEND NJEMA WATANZANIA!

0 comments: