simanzi!

hi!guys how is weekend,my side ilikuwa mbaya,jaman kilichonitia simanzi ni leo asubuh nilipockia kuwa mwanamziki machachari wa  ile mziki ya kibobumarley ISAACK GREGORY AMEFARIKI DUNIA.Imeniuma sana hasa nikikumbuka kwamba huyu ndie mwanamuziki ambae baba yangu anamfeel sana tena sana,Nawapa pole mashabiki wote wa reggae dunian!MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEM MAHALI PEMA PEPONI,AMINA.

0 comments: