uhuru wa tanganyika 1961 una maana gani sasa kwetu au ni story za mtaa?


hi!kila mtu kuwa anafanya kitu kwa minajili hata suala la uhuru wetu kila mmoja ana lake ambalo ndilo anakuwa anawaza mimi mpaka sasa najua uhuru uliniweka katika maisha ya kuwa huru katika mambo yangu binafsi bila kuongozwa kama mfungwa pia maendeleo yangu yanasimama kama yangu na taifa kwakua niko huru ufanya huku nikitumia jitihada zangu binafsi kufika hapa nilipo na kama kunamsaada wa kiuhuru upo kwakua nipo huru na si vinginevyo
Siaoni jambo la kujivunia kama ambavyo baadhi ya watu wamekuwa wakishabikia, kiasi cha kutumia gharama kubwa katika kuandaa matoleo mbalimbali yenye kusifia mambo yaliyofanywa na serikali.
Sitaki kushabikia maendeleo yanayosemwa na serikali kuwa yamefanyika ambayo naamini ni wajibu wa serikali kuyafanya, na wala si hisani au msaada kama wananchi wanavyomanishwa na viongozi. sisemi mengi ila nililo nalo mimi sila kawida sana japo ukiangalia kimtazamo huoni kama kuna jambo
  imendikwa na steven mruma
www.stevenmruma.blogspot.com

badala ya salama salum

0 comments: